Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakataa Ila I bet you .if you are a woman Kuna yule tu unamfeel kwenye sex na Wala hakupi hiyo hela unasema..but ndo mtamuuu hatari.not penzi jipya.go read my other threads.Thubutu ... Eti hata asiwe na kitu...nyoooo acha fix.
Una mihemko ya penzi changa subiria the reality
Ingekuwa ujinga Mungu asingeweka. Good tulia na ulie nae. Of course God math Ni 1:1.nina miaka mingi sana kwenye sector hiyo hadi nikaacha ujinga na kumrudia Bwana. ila tangu nianze kupambana na kutumia ujuzi wangu wote kuwatosheleza wanawake, sijaona faida ya ziada maishani. imebaki nimridhishe tu huyu niliyenaye ili apate furaha yeye. kwasababu mimi furaha ninayo siku zote.
Enjoy to the fullest dear[emoji23][emoji23].no dear. Just saying. Kuna sweetness zingine zinakuwa next level[emoji134]
Usitutishe kwenye mambo ya msingi banaaa....🤨 acha watu wakulane kama Dar live....😋 kama ni kudanja Titan isingezama na wale matajiri kwenye mto mara...😎Kumbukeni kinga ukimwi upo na mkapime.
Kuna show halafu Kuna show Tena[emoji126][emoji126]Bahati yako hujanitaja jina. Maana ningekupiga chini dakika 0 tu. Yaani shoo yenyewe nimekupa ya kawaida kabisa, ila ukaona uje unisifie huku. Mambo gani haya!!
Hii tabia uache mara moja. Wakati mwingine sitakuvumilia kabisa. [emoji30]