Kuna wanaume watamu sana!

Hivi hii inamuhusu nanii isije kuwa mm nfo nmeanfikwa hapa pasipo kujijua🤣🤣
 
Wanaume watamu huwa hatunaga mapesa mengi ila alhamudululah vichechi vya kubadili mboga kula na kuvaa hatukosagi, tuko size ya kati sana.

Mwanaume mwenye ako na pesa mingi amini nakueleza siyo mtamu wengi wao 90% sio watamu.

Pia mwanaume aliyepigika hana life pia wengi sio mtamu, raha upate mwanaume aliye balance maisha na kuridhika (he got no stress, he see this is life let live it).

Uchawi wa kumpata mwanamke adumu nawe nishaambia wanaume wengi sio pesa pekee ni akili na kumweka sawa. Kumkaza mwanamke kwa kupush na kutoa mboroz sio kigezo cha kumpa climax yapo manjonjo mengi sana.

Kwa mwanamke aliye romantic au hajawai pata penz na analitaka yaani she is crying for it, unaweza ukamchanganya akili kama utatumia vizuri mwili wako kwenye kila aspect, imagine mwanaume umeoga fresh afu mdomo una harufu mbaya you can't give her happy, kama umekula nguruwe sijui wali maharage kiweke kinywa kiwe safi.

I wanted to say mapenzi matamu yanaanza na vingi sana.

Nikiri sijawahi pata demu ako romantic wengi mimi ndiyo ninawapagawisha. Due to social distance between us hatumeet na they always remember me till now though hawapo romantic.
 
Wakati nasoma juuu nikasema Marioo wako hivyo maana hawana pesa nikasoma zaidi kwamba hakuna kitu anakupa nikacheka sana
 
Basi buu uzi utakua na maisha marefu, nipo hapa kushuhudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…