Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mmmh mbona haina uhusiano? Wewe kama ni me utakuwa mbaya na ikiwa ni ke utakuwa na mwanaume mbaya unajipa moyo😅Mwenyezi Mungu fundi
Mwanaume mtamu anakuzalia watoto unatumia mpaka 30M international school + University ila wanaishia kutoa Makamasi + kula unga+ Supplementary za kufa mtu