Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Si una ile kitu inamla mwenzake, unaweza kuitumia ukamla tu
 
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam. Yani mwanaume amebarikiwa jamani, ngozi nyeusi ya kuvutia kama chocolate, macho ya kimahaba, kifua mashalaaaah, dushe la wastani na kuteleza, tabasamu lake sasa uwii! Akiwa kitandani ndo hata usiulize, anapendeza pamba balaa.

d5aa344880d41810f9db16b87598e517.jpg

Jamani na hii baridi kwa kweli unaweza hata usihisi njaa ukiwa na mwanaume kama huyuu maana yeye ni shibe tosha. Wanaume wazuri wanafanana na chakula kizuri ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.

Nyongeza:

Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.

Demiss(cha mdeko)
awe amevaa hereni kama huyo kwa picha au?? wewe na yeye nyote mvae hereni..??
 
Duuh
 
Wengi wa hivyo wanakuwaga wametatuliwa linda, nahis hata hapo amekaa akisubil atatuliwe linda

Sio kila king'aacho ni dhahabu

Afu acha kuita wanaume wana sura mbaya wewe siyo Muumba

LONDON BOY
Cha
 
Back
Top Bottom