Gold_addict
Member
- Nov 14, 2013
- 23
- 18
Kwa kweli wanaume wenye sura mbaya wanipite tu kando...kwanza sitaki kuharibiwa watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti sura chachuwenye sura chachu kazi tunayo..
wassira akiomba show humpi?Kwa kweli wanaume wenye sura mbaya wanipite tu kando...kwanza sitaki kuharibiwa watoto
ndiyo![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti sura chachu
Hiyo sasa itakuwa ni sawa na kuwashwa na pilipili ya shamba...ndiyo!
ukituona unakunja sura bila kupenda 😀😀
😀😀😀Hiyo sasa itakuwa ni sawa na kuwashwa na pilipili ya shamba...
fisimweusi=MBITIYAZA ha haaa haaaa. kanda yetu.sema mdogo wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti "yori yori" we mwanamke wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]sasa jee,siku akinuna kweli nyumbani mnajua baba kanuna leo hacheki na mtu sio hujui akiwa na hasira au amefurahi muda wote yuko yoriyori....hahahahha mwanaume machine buana[emoji13]
[emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti "yori yori" we mwanamke wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hehehe hebu nikajiangalie kwenye kioo vzuri, isije ikawa nina sura "yori yori" nitalia [emoji13] [emoji13]Hahahaaaaaa. Mie pia hao wanaume warembo hawajawahi nivutia raha ya mwanaume awe na sura ya kiume bana. Teh.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mnapenda vifua eeeh? Ngoja nianze kunyanyua vyuma sasaKuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam. Yani mwanaume amebarikiwa jamani, ngozi nyeusi ya kuvutia kama chocolate, macho ya kimahaba, kifua mashalaaaah, dushe la wastani na kuteleza, tabasamu lake sasa uwii! Akiwa kitandani ndo hata usiulize, anapendeza pamba balaa.
![]()
Jamani na hii baridi kwa kweli unaweza hata usihisi njaa ukiwa na mwanaume kama huyuu maana yeye ni shibe tosha. Wanaume wazuri wanafanana na chakula kizuri ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.
Nyongeza:
Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.
Demiss(cha mdeko)