Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

anaitwa donnell blaγlock jr
73ae7ce8fca660854813a598854a3b11.jpg
10095d0dffe25b302913bcf9a739c737.jpg

da17e209dcb58a9ca0c26ab2ec6788bf.jpg
 
sasa jee,siku akinuna kweli nyumbani mnajua baba kanuna leo hacheki na mtu sio hujui akiwa na hasira au amefurahi muda wote yuko yoriyori....hahahahha mwanaume machine buana[emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti "yori yori" we mwanamke wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaaaaa. Mie pia hao wanaume warembo hawajawahi nivutia raha ya mwanaume awe na sura ya kiume bana. Teh.
hehehe hebu nikajiangalie kwenye kioo vzuri, isije ikawa nina sura "yori yori" nitalia [emoji13] [emoji13]
 
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam. Yani mwanaume amebarikiwa jamani, ngozi nyeusi ya kuvutia kama chocolate, macho ya kimahaba, kifua mashalaaaah, dushe la wastani na kuteleza, tabasamu lake sasa uwii! Akiwa kitandani ndo hata usiulize, anapendeza pamba balaa.

d5aa344880d41810f9db16b87598e517.jpg


Jamani na hii baridi kwa kweli unaweza hata usihisi njaa ukiwa na mwanaume kama huyuu maana yeye ni shibe tosha. Wanaume wazuri wanafanana na chakula kizuri ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.

Nyongeza:

Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.

Demiss(cha mdeko)
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mnapenda vifua eeeh? Ngoja nianze kunyanyua vyuma sasa
 
Back
Top Bottom