Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh jamaniii sasa sura zetu tuziweke wapiiiKuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam. Yani mwanaume amebarikiwa jamani, ngozi nyeusi ya kuvutia kama chocolate, macho ya kimahaba, kifua mashalaaaah, dushe la wastani na kuteleza, tabasamu lake sasa uwii! Akiwa kitandani ndo hata usiulize, anapendeza pamba balaa.
![]()
Jamani na hii baridi kwa kweli unaweza hata usihisi njaa ukiwa na mwanaume kama huyuu maana yeye ni shibe tosha. Wanaume wazuri wanafanana na chakula kizuri ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.
Nyongeza:
Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.
Demiss(cha mdeko)
Asante mamaHb wanguuuu[emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Wakati mwingine sio wanaringa bali ni strategy ya kujitenga na wadada maana sio hao tu ila hata wanaume wengine huwa inatokea mtu anashobokewa na wadada wengi kiasi kwamba kuepuka shari anajikuta anakuwa anapunguza mazoea (na wadada wengi wanaamini mwanaume always ni mtu dhaifu kwa wadada kama atachekewachewa na kusogelewa ataonyesha ushirikiano kumbe kuna ambao wapo tofauti na akifanya hivyo ataonekana anaringa)Wanaume wa hivyo wanaringaga kuliko wanawake. Halafu wachoyo bala.
Sema wengi wanakuwaga wasafi Sana, hicho tu ndo nnachowapendea
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Nakuona tu ulivyo muhandsome
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam. Yani mwanaume amebarikiwa jamani, ngozi nyeusi ya kuvutia kama chocolate, macho ya kimahaba, kifua mashalaaaah, dushe la wastani na kuteleza, tabasamu lake sasa uwii! Akiwa kitandani ndo hata usiulize, anapendeza pamba balaa.
![]()
Jamani na hii baridi kwa kweli unaweza hata usihisi njaa ukiwa na mwanaume kama huyuu maana yeye ni shibe tosha. Wanaume wazuri wanafanana na chakula kizuri ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.
Nyongeza:
Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.
Demiss(cha mdeko)
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam. Yani mwanaume amebarikiwa jamani, ngozi nyeusi ya kuvutia kama chocolate, macho ya kimahaba, kifua mashalaaaah, dushe la wastani na kuteleza, tabasamu lake sasa uwii! Akiwa kitandani ndo hata usiulize, anapendeza pamba balaa.
![]()
Jamani na hii baridi kwa kweli unaweza hata usihisi njaa ukiwa na mwanaume kama huyuu maana yeye ni shibe tosha. Wanaume wazuri wanafanana na chakula kizuri ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.
Nyongeza:
Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.
Demiss(cha mdeko)
Mmm,mie apana mwanamme kazi uzuri mbwembwe tuu..
Duh mkuu umeng'amua vilivyoHiyo picha hapo kitandani alikua anamsubiri nani hasa? ....maana formula inasema anapanda mwanamke kitandan then anafata mwanaume!!!!!................ BWABWA HUYO...