🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu attachment yako mbona hahiendani na uzi.
Fanya kutuwekea attachments zinazoenda sambamba na maudhuhi ya uzi.
Dah kweli unae kengeza
Sasa huyo dada anamaajabu gani?
Hajamaanisha kwamba anao uzuri wa kuvutia sana kuliko wengine.....ila binti kama huyo kufanya umamantilie afu ni graduate na akati ishazoeleka mama ntilie wengi ni wale shule hamna kwaivo hakuna kazi atafanya tofauti na izo.......tofauti na mabinti graduates wengine akikosa Ajira kuliko kujishughulisha apate chake anaona bora adangeNaungana na comment za wajumbe
“Hamna kitu hapo”
Sasa ulitaka ashike na nini 🤔😡!?Mbona kashika samaki na kidole,
Tena dole la kushoto,.Mbona kashika samaki na kidole,
Hajamaanisha kwamba anao uzuri wa kuvutia sana kuliko wengine.....ila binti kama huyo kufanya umamantilie afu ni graduate na akati ishazoeleka mama ntilie wengi ni wale shule hamna kwaivo hakuna kazi atafanya tofauti na izo.......tofauti na mabinti graduates wengine akikosa Ajira kuliko kujishughulisha apate chake anaona bora adange
Umfungulie biashara kwenye frame nzuri
Ten🤣Umemuachia sh ngapi sasa???!!
Kuna kijiko cha kubebea samaki, kuku waliokaangwa, hujawahi hudhuria sherehe?Sasa ulitaka ashike na nini 🤔😡!?