Kuna wanawake hata ukiwahonga mamilioni roho haiumi

Kuna wanawake hata ukiwahonga mamilioni roho haiumi

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau

Katika harakati za maisha.. nimehudumiwa na mama lishe graduate .. yaani mpaka nimemuonea wivu bwana wake..

Kizazi hiki cha slay queens binti kama huyu haitaji maswali mengi kumvalisha shela na kama una mahela unamuwezesha mpaka amiliki kempiski yake ama hata ukumbi wa maharusi..

Kuna wadada wapo vizuri to be honest.. japo hawana kitu ila mishe zao tu zinaonesha mindset zao zipo vizuri
 
Mabinti wa hivi jiulize wewe peke yako ndio unakutana nao ni moja ya market strategies zao mostly. Kuna wengi wameshaonja mbususu na mwisho wake ata uwape mitaji kiasi gani atarudi hapo hapo kwenye mama mishe, talking out of experience.
 
Dah kweli unae kengeza
Sasa huyo dada anamaajabu gani?
Naungana na comment za wajumbe
“Hamna kitu hapo”
Hajamaanisha kwamba anao uzuri wa kuvutia sana kuliko wengine.....ila binti kama huyo kufanya umamantilie afu ni graduate na akati ishazoeleka mama ntilie wengi ni wale shule hamna kwaivo hakuna kazi atafanya tofauti na izo.......tofauti na mabinti graduates wengine akikosa Ajira kuliko kujishughulisha apate chake anaona bora adange
 
Mimi hata sijamwona nome come to kwa Hoja za wajumbe walionitangulia
 
Back
Top Bottom