Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

kumbe k zinatofautiana utamu nipe darasa mkuu tamu ikoje hahahahahahah na isiyo na maajabu ikoje aloo wanaume
Ndo uKweli huo,
Kuna mtu unamwona kwa nje,unaamini yaliyomo yamo, unajivika bomu na kuingia nae Kwny mahusiano

Kufika chumban kumbe yaliyomo hayamo. Unabak kujiaumu muda na gharama ulizotumia na kumpiga chini baada ya kumlala TU Huwezi, unajihisi ujamtendea Haki, anabaki kumuweka wa ziada ila kumuacha humuachi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] watoto wawili si utatoka nduki ww wanaum hawataki majukumu
Nalijua hilo.
Achana na mkata umeme njoo kwa mwanaume mpenda familia.
Watoto ni baraka, riziki zao Mungu ataelekeza kwetu mama
 
asa ndo tamu zikoje mkuu ili nijijue jmn
 
Kwahio hata mkeo kwako sio bora mkuu ukiumwa huyo mama j hawezi kuja kukuogesha mkeo huyo unae muona ziro ndio atakuogesha
Suala la ugomvi wa tendo na wife Silitaki, nishajua hanifanyii kusudi kua vile,ndivyo alivyoumbwa na siwezi ikosoa kazi ya mungu,eti kutaka kulazimisha awe km nnavyotaka Mimi.

Cha muhimu
90% ya wife kua wife material keshafikisha. Hiyo 10% ilobaki kwa sehemu ya sex naweza kuifix nje kimya kimya na maisha Kwny ndoa yetu yakaenda safi kwa amani na utulivu Bila migogoro yoyote
 
Miaka mitatu unahusumia mwanamke ambaye siyo mke wako ktk Tanzania hii ya hawa wanawake wa sasa??? Aisee una roho ngumu sana
 
Ila kama mke anaweza kumtengeneza mwanaume kuwa kama anavyotaka na akawa why wewe ushindwe kumtengeneza mkeo mimi nakushauri achana na michepuko si ajabu humu pika kuna watu umewapanga na wakapangika haya bhna
 
Umeshindwa kusimama kama mwanaume kwa huyo mwanamke, nadhani kwa sasa anakuona kama mwanamke mwenzake tu. There's no way mwanamke akanipanda kichwani namna hiyo namuangalia tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…