Muwa mtamu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 847
- 1,599
Chizi kantambua chizi haha ngoja nikuitie anayekuwezaHa ha. Ha....chizi sn ww[emoji38][emoji38][emoji38]
Glenn [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chizi kantambua chizi haha ngoja nikuitie anayekuwezaHa ha. Ha....chizi sn ww[emoji38][emoji38][emoji38]
kumbe ana mke?Kwahio hata mkeo kwako sio bora mkuu ukiumwa huyo mama j hawezi kuja kukuogesha mkeo huyo unae muona ziro ndio atakuogesha
Ni defence mechanism ndizo mnazitumia kwahiyo wanaume wote tukifanya kama hivyo what next?Kama hunawahi kua Kwny situation km hii huwez nielewa,kila binadamu na madhaifu yake
Ndo uKweli huo,kumbe k zinatofautiana utamu nipe darasa mkuu tamu ikoje hahahahahahah na isiyo na maajabu ikoje aloo wanaume
Nalijua hilo.[emoji23][emoji23][emoji23] watoto wawili si utatoka nduki ww wanaum hawataki majukumu
Kwahiyo ulikuwa unataka na wewe uwe mchepuko be care watu wamoa na watoto oh cheza kwa stepkumbe ana mke?
asa ndo tamu zikoje mkuu ili nijijue jmnNdo uKweli huo,
Kuna mtu unamwona kwa nje,unaamini yaliyomo yamo, unajivika bomu na kuingia nae Kwny mahusiano
Kufika chumban kumbe yaliyomo hayamo. Unabak kujiaumu muda na gharama ulizotumia na kumpiga chini baada ya kumlala TU Huwezi, unajihisi ujamtendea Haki, anabaki kumuweka wa ziada ila kumuacha humuachi.
Usikute na Mama J nae yupo kama huyo
wacha weew😂Nalijua hilo.
Achana na mkata umeme njoo kwa mwanaume mpenda familia.
Watoto ni baraka, riziki zao Mungu ataelekeza kwetu mama
Utanikumbuka, ngoja nisonge mbelewacha weew[emoji23]
siwwz kuwa nae humu ni jokes mkuu...sina nyege na viumbw vyenye mkia mbele nmemshangaa anamlilia mchepuko kumbe mtu ana mke khaaKwahiyo ulikuwa unataka na wewe uwe mchepuko be care watu wamoa na watoto oh cheza kwa step
😀😀😀😀😀Utanikumbuka, ngoja nisonge mbele
Suala la ugomvi wa tendo na wife Silitaki, nishajua hanifanyii kusudi kua vile,ndivyo alivyoumbwa na siwezi ikosoa kazi ya mungu,eti kutaka kulazimisha awe km nnavyotaka Mimi.Kwahio hata mkeo kwako sio bora mkuu ukiumwa huyo mama j hawezi kuja kukuogesha mkeo huyo unae muona ziro ndio atakuogesha
Miaka mitatu unahusumia mwanamke ambaye siyo mke wako ktk Tanzania hii ya hawa wanawake wa sasa??? Aisee una roho ngumu sanaHaitoshi pia anawapigia rafiki zako wa karibu sn kuwajulisha kua mmeshaachana sababu umemchanganya yeye na shoga Yake, Wewe ni mtu mbaya sana.
Haishii hapo anapeleka taarifa hizo kwa bwana ake na uyo shoga yake kua unatembea na mchumba wake, jamaa asivyo na ustaarabu Wala busara anakuja kichwa kichwa Bila ushahidi wowote, mtu anakuletea shutuma za kutembea na mchumba wake ila hakusikilizi Japo kidg, MDA wote anataka aongee yeye tu peke yake.
Unaona kumbe huyu jamaa nae mpuuzi, kaja kwa Shari,tayar ameshasadiki Maneno yote ya uwongo aliyolishwa uko na uyo mwanamke, hata hajui chanzo Ni nini,anakurupuka na hataki kueleweshwa.Basi mnazinguana ile mbaya liwalo na liwe. Hakuna hata kusalimiana,kila mtu kivyake.
Baada ya yote hayo alokufanyia na kukuchafua kote huko, umemkalia kimya TU, haipiti wiki anaomba tena mrudiane muanze upya,kakosea sn,yeye bado anakupenda Sana hawezi kuishi Bila Wewe.
Wakuu hivi mwanamke wa hivi unamuelewaje?[emoji848]View attachment 2625104View attachment 2625105View attachment 2625106View attachment 2625107View attachment 2625108View attachment 2625109View attachment 2625110
Kwahiyo umeamua kututukana sio viumbe wenye nini?siwwz kuwa nae humu ni jokes mkuu...sina nyege na viumbw vyenye mkia mbele nmemshangaa anamlilia mchepuko kumbe mtu ana mke khaa
Ila kama mke anaweza kumtengeneza mwanaume kuwa kama anavyotaka na akawa why wewe ushindwe kumtengeneza mkeo mimi nakushauri achana na michepuko si ajabu humu pika kuna watu umewapanga na wakapangika haya bhnaSuala la ugomvi wa tendo na wife Silitaki, nishajua hanifanyii kusudi kua vile,ndivyo alivyoumbwa na siwezi ikosoa kazi ya mungu,eti kutaka kulazimisha awe km nnavyotaka Mimi.
Cha muhimu 90% ya kua wife material kafikisha. Hiyo 10% ilobaku sehemu ya sex naweza kuifix nje kimya kimya na maisha Kwny ndoa yetu yakaenda kwa amani na utulivu Bila migogoro