Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

Miaka mitatu unahusumia mwanamke ambaye siyo mke wako ktk Tanzania hii ya hawa wanawake wa sasa??? Aisee una roho ngumu sana
Namhudumia sabbu nae ananihudumia
No free lunch in wildness of african men
 
Ila kama mke anaweza kumtengeneza mwanaume kuwa kama anavyotaka na akawa why wewe ushindwe kumtengeneza mkeo mimi nakushauri achana na michepuko si ajabu humu pika kuna watu umewapanga na wakapangika haya bhna
Hiyo concept ujanielewa kiongoz wangu
Naomba ERoni au Glenn nisaidieni kumuelewesha huyu brother yang [emoji1431]
 
Umeshindwa kusimama kama mwanaume kwa huyo mwanamke, nadhani kwa sasa anakuona kama mwanamke mwenzake tu. There's no way mwanamke akanipanda kichwani namna hiyo namuangalia tu!!
Kwamba nilitakiwa nikamuwashe Moja mbili tatu za mashavuni?
 
Acheni hizo bas,sijafikia uko bhana[emoji4]
Yaani mimi demu anipande kichwani kiasi hicho dah, kuna mmoja alifikiri kuwa K anayo yeye pekeyake duniani,. Nikampiga chini nikachukua chuma kipya, saiv analia lia tu, umri wake unayoyoma hadi ana stress za kukosa mume.
 
Yaani mimi demu anipande kichwani kiasi hicho dah, kuna mmoja alifikiri kuwa K anayo yeye pekeyake duniani,. Nikampiga chini nikachukua chuma kipya, saiv analia lia tu, umri wake unayoyoma hadi ana stress za kukosa mume.
Dah! Basi alikua wa kawaida uyo,
Uyu nilonae ana mashine Moja matata Sana, nzuri na inatema maji ya Moto matamu balaa na ufundi wake sijawai ona

Unaweza mchakata sahv,ukifika barabaran nyege zisharudi upya unarudi kuloweka Tena, utaman kubanduka kifuani kwake.

Hivi mkuu ulishawahi kukesha unafanya Mapenz na mwanamke? Yaani saa 1 usiku mpaka saa 11 alfajiri mnatombaner TU?

Hivi mkuu ulishawahi sex na mwanamke Kia's kwamba ukimwaga bao mapema unajilaumu?

Basi ndo huyu mwanamke nilokua nae[emoji4]
 
Back
Top Bottom