Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

Suala la ugomvi wa tendo na wife Silitaki, nishajua hanifanyii kusudi kua vile,ndivyo alivyoumbwa na siwezi ikosoa kazi ya mungu,eti kutaka kulazimisha awe km nnavyotaka Mimi.

Cha muhimu
90% ya wife kua wife material keshafikisha. Hiyo 10% ilobaki kwa sehemu ya sex naweza kuifix nje kimya kimya na maisha Kwny ndoa yetu yakaenda safi kwa amani na utulivu Bila migogoro yoyote
Kwa hiyo 10% ni ya mama J?
 
Imagine uko na mwanamke kwenye mahusiano kwa miaka 4, umemkuta Ni jobless, umepambana umemtafutia kazi yenye mshahara kila mwisho wa mwezi anapokea na posho ya elfu 10 analipwa kila siku anayofika kazini.

Mwanamke huyu umempangia
Sehemu, unamlipa Kodi januari to December miaka yote hiyo,usafir kazin na ela ya chakula kila Siku iendayo kwa Mungu unamgharamia bila kujali anapokea mshahara Wake au posho yoyote kazin kwake.

Siku unapata Safar ya mkoa wkt wa kurudi unafungasha vitu kadhaa vya jumla njiani kwa ajili ya nyumbani kwake kuanzia vitunguu, nyanya, mkaa, mchele, mahindi, viazi chips na mAfuta ya alizeti n.k yote ili kumpunguza gharama za mjini Maana uko njiani mkoani vitu umekuta vinauzwa Bei rahisi Sana.

Baada ya kuleta vitu ving nymbn unaamua kupunguza posho ya meza ya kila Siku kwa zaidi ya 50% (yaani unatoa 5,000 kwa siku) Maana tayar vitu vingi vya msingi vipo ndani, Elfu 5 iyo inakua ya kubadilishia mboga na kununulia viungo vya ziada ili kupika chakula.
Mama J keshafanya yake tena 😅😅😅😅😅 huyo Muhaya atakuu aisee
 
Watu wanapaswa kuelewa kwamba faida za mahusiano kwa mwanaume siku hizi ni chache mno kuliko faida.
 
Haitoshi pia anawapigia rafiki zako wa karibu sn kuwajulisha kua mmeshaachana sababu umemchanganya yeye na shoga Yake, Wewe ni mtu mbaya sana.

Haishii hapo anapeleka taarifa hizo kwa bwana ake na uyo shoga yake kua unatembea na mchumba wake, jamaa asivyo na ustaarabu Wala busara anakuja kichwa kichwa Bila ushahidi wowote, mtu anakuletea shutuma za kutembea na mchumba wake ila hakusikilizi Japo kidg, MDA wote anataka aongee yeye tu peke yake.

Unaona kumbe huyu jamaa nae mpuuzi, kaja kwa Shari,tayar ameshasadiki Maneno yote ya uwongo aliyolishwa uko na uyo mwanamke, hata hajui chanzo Ni nini,anakurupuka na hataki kueleweshwa.Basi mnazinguana ile mbaya liwalo na liwe. Hakuna hata kusalimiana,kila mtu kivyake.

Baada ya yote hayo alokufanyia na kukuchafua kote huko, umemkalia kimya TU, haipiti wiki anaomba tena mrudiane muanze upya,kakosea sn,yeye bado anakupenda Sana hawezi kuishi Bila Wewe.

Wakuu hivi mwanamke wa hivi unamuelewaje?[emoji848]View attachment 2625104View attachment 2625105View attachment 2625106View attachment 2625107View attachment 2625108View attachment 2625109View attachment 2625110
Kama sio Msukuma huyu ni Mchaga, Tena WA standard six
 
Unazoeana na shoga yake mnakua mnatext na kupigiana Simu na story za kawaida tu kujuliana Hali mara kwa Mara. Sasa Siku Moja unapokea sim ya uyo shoga ake, ghafla unaskia saut sio ya mwny simu, ni mwanamke wako mloshagombana na kuachana tayari, anajieleza kua anaomba umsikilize japo kdg ,Basi unaamua kuikata hiyo simu haraka sn. Kila akipiga Tena simu upokei.

Kumbe fursa hiyo ya kushika Simu ya shoga yake,anapata fursa nyngn ya kusoma sms zote kwny simu hiyo mlizochati na shoga Yake uyo tangu kipind icho unamtuma akampeleleze Kama anaumwa kweli au lah!.

Anakasirika na kuzua ugomvi mkubwa Sana na shoga yake uyo kua anamzunguka,kumpeleleza na kumgombanisha na bwana ake kwny mahusiano yake, Kisha anamfukuza nyumbani kwake Kama mbwa eti Ni mnafiki.

Haitoshi anaanza kukutumia sms za kashfa,matusi na dharau kua wewe Ni malaya sana, unatembea hadi na shoga zake wa karibu. Kumbe Simu zake upokei uko bize na shoga Yake mnawasiliana mnamzunguka sababu mna mahusiano ya kimapenzi mnatakana. Humjibu chochote.
Daaa kuna dem nipo naye kwenye mahusiano sifa kama za uyo demu
 
Back
Top Bottom