Kuna wanawake hawazeeki jamani. Hivi huyu bibi Cynthia mnamfahamu?

Kuna wanawake hawazeeki jamani. Hivi huyu bibi Cynthia mnamfahamu?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Katika kundi la wanawake tasnia ya filamu huyu alitukosha sana vijana kwa zile ngumi zake na mapigano.

Embu fikiria umemfahamu mpaka leo ila utamu umebaki pale pale.

FB_IMG_1784478860298.jpg
FB_IMG_1784415621924.jpg
 
Kuna uwezekano mkubwa ni plastic Surgery,

Upasuaji wa kuingiza plastiki chini ya ngozi ili kuzuia ngozi kulegea

Pia kuna sindano za kujaza vimiminika vinavyoganda ili kukaza ngozi zilizolegea
 
Kuna uwezekano mkubwa ni plastic Surgery,

Upasuaji wa kuingiza plastiki chini ya ngozi ili kuzuia ngozi kulegea
Huyu anafanya mazoezi sana kama marehemu cheki noris.Shida michemsho na visinia mix by kitimoto na bia vinatuzeesha.

Dokta janabi alituambia tupunguze
 
Back
Top Bottom