Mshangazi mdogomdogo
Member
- Sep 23, 2024
- 64
- 43
MADHARA YAKUTUMIA P2 mara kwa mara
Dr mwasola
✏️ P2. Emmergency Contraceptive Pills' ni vidonge maalum vinavyotengenezwa kwa lengo la kutumika kwa dharura kuzuwia mimba isiyotarajiwa
✍️P2 ni kifupi na Postinor-2, ni dawa inayotumika kwa dharula tu. Vidonge vya P2 havitakiwi kutumika kama njia ya mara kwa mara kuzuia mimba.
✏️Kazi ya P2
Vidonge vya P2 vinafanya kazi kwa kuzuia yai kupevuka wakati wa mzunguko wa hedhi. Pia P2 inafanya uteute wa ukeni kuwa mzito sana na kufanya mbegu kushindwa kuogelea kwenda kwenye yai. Kazi ingine ya P2 ni kubadili ukuta wa mji wa mimba ili kuzuia mimba kujishikiza.
✍️Vidonge vya p2 vinatakiwa kutumika tu endapo njia zingine za kuzuia mimba zimefeli.+ Kwa mfano kondomu kupasuka katikati ya tendo au umefanya tendo na kusahau kuvaa kinga na upo kwenye siku za hatari.
✍️ P2 Ni Uzazi wa mpango wa dharura hutumiwa kuzuia mimba kwa wanawake ambao wamefanya ngono bila kinga au ambao njia zao za uzazi zimeshindwa kuzuia.
Madhara ya vidonge vya P2.
✍️Kwaza kabisa tunapaswa kujua maana ya P2 ni vidonge ambavyo utumiwa Ili kuweza kuzuia mimba isitungwe baada ya masaa sabini na mawili baada ya kujamiiana bila kutumia kinga. Vidonge hivi upenda kutumiwa sana na akina dada na Mama wengi wakiwa na lengo la kuzuia mimba.
Yafuatayo ni madhara ya matumizi ya mara Kwa mara ya P2
1️⃣. Matiti kuuma na kuvimba.
Kuna wakati mwingine matiti yanauma na kuvimba kwa sababu ya matumizi ya mara Kwa mara ya P2 hii ni kwa sababu ya kuwepo kwa muingiliano wa homoni za ndani ya mwili na zile za P2 kwa hali hii usababisha maumivu kwa akina Mama na dada .
2️⃣. Kujisikia vibaya yaani mwili kukosa nguvu pamoja na kulegea na kuhisi kuwa umeboreka na kila kitu kwa watu wengine ufanana kama wameugua kabisa kwa sababu ya kuwepo kwa kiwango kikubwa cha P2 mwilini.
3️⃣ Kuhisi kichefuchefu na kutapika.
Kuna wakati mwingine watumiaji uhisi kichefuchefu na pengine kutapika Kabisa, wengine upata mda mfupi baada ya kutumia lakini wengine upata mda mrefu baada ya kutumia, hali hii ya kutapika usababisha mwili kulegea na kukosa nguvu.
4️⃣. Pia vidonge hivi vina tabia ya kibadilisha mzunguko wa hedhi, Kuna wakati mwingine hedhi uchelewa au kurefuka na kuzidi siku Saba au pengine hedhi inaweza kuwa nzito au nyepesi.
5️⃣ Usababisha ugumba.
Kwa sababu kazi ya P2 ni kuzuia mji wa mimba kuharibiwa Ili mimba isitungwe au kuzuia yai lililochevuswa kutokomaa kwa kufanya hivyo usababisha madhara makubwa ikiwa kila mara hali hii inatokea hatimaye mama Akita kubeba mimba mji wa mimba unaharibika wenyewe kwa sababu ya kuwepo kwa mazoea ya P2.
6️⃣ hedhi kuwa nzito kupita kiasi
7️⃣chuchu kuuma
8️⃣kukosa kabisa hedhi
9️⃣matiti kulainika , kuharisha au maumivu ya kichwa vinaweza kutokea baada ya kumeza P2.
1️⃣0️⃣ Kusababisha vimbe kwenye kizazi
✍️Kumekuwa na wimba kwa wanawake wengi na wasichana wadogo ivi Sasa kutumia p2 kiolela na kuperekea madhara mengi kwenye via vya uzazi Muhimu usiweke Mazoea yakutumia p2 kiolela bila ushauri
N.b Matumizi ya P2 yamdamfupi yanaweza kukufanya ukaangaika kutafuta mtoto kwenye Maisha yako