Kuna wanawake mlipswa kuwa wanaume tu, maana mna gundu hatari. Angalieni huyu mwanamke mwenye nyota yake

Huyo jamaa ana asili ya u"simp" ndani yake.
Mimi ningekuwa na jina maarufu kidogo kama lake basi ningempata wema bila ya kutoa hata vocha, ni kwa maneno mazuri pekee angejaa ndani na angejileta mwenyewe.
 
Huyu jamaa ana sifa za kijinga sana,kuna watu wakiongea hivyo unaamini huyu jamaa pck anaongozwa na sifa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…