Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Huyu hajawahi kupoaM ndo maana nawekaga mpira kabla ya mechi naijua mimaji yangu mm....
Bro unakataa kabisaUchafu hapana
mtu wangu nilikuwa napita njia tyBwashe mfundishe huyo bibie usafi kuanzia katika malazi, mapishi, mazingira kiujumla na somehow kiroho
Ahahaha usiniambie hufuagi mashuka?Kumbe mashuka huwa yanafuliwa? Nilijua likitandikwa ni hadi lichakae😂
Ahahaha meusi tena unadalili za kuwa mchawi wewe shuka ni jeupeDuh! Ndo maana huwa napendelea mashuka meusi
Nifue mashuka kwani mimi ni mwanamke!
Hayo ndio hafuliwi mwaka nzimaBlanket je?
Hapo sawa mkuuHayo ndio hafuliwi mwaka nzima
Yaan acha akabisa unakuta jiko la mwanamke chafu mpaka kula chakula chake unaona hapanaUchafu wa asili ni ngumu kumuacha mtu. Kiufupi tu, mtu mvivu lazima awe mchafu.
Nilisahau tu kuyatajaHapo sawa mkuu
Chakula cha mwanamke mvivu unaweza kula uchafu. Mwiko unaweza anguka, akaona uvivu kuosha. Akafuta tu na nguo ambayo ametoka nayo kuswampa kwa mashoga zake na bila kuoga kaingia jikoni hivo hivo kwa kuona amechelewa kupika. 😀Yaan acha akabisa unakuta jiko la mwanamke chafu mpaka kula chakula chake unaona hapana
Sio sir kabisa hawafai hivi walio wanawake wachafu wanaishijeChakula cha mwanamke mvivu unaweza kula uchafu. Mwiko unaweza anguka, akaona uvivu kuosha. Akafuta tu na nguo ambayo ametoka nayo kuswampa kwa mashoga zake na bila kuoga kaingia jikoni hivo hivo kwa kuona amechelewa kupika. 😀