Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #41
Wakat wa uchumba labda anajifanya msaf ukamuweka ndani ndio makucha yanachomoka itakuwajeSiwezi kufa kwa mtu mchafu, ntafufuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakat wa uchumba labda anajifanya msaf ukamuweka ndani ndio makucha yanachomoka itakuwajeSiwezi kufa kwa mtu mchafu, ntafufuka.
Ahahah uyo mvivu sanaNa rafiki yangu mmoja kaoa mwanamke yuko rafu kichizi kwanza sebuleni kwao siku zote zimezagaa nguo hovyo hovyo haijulikani ni nguo safi au chafu, anaweza akajiremba kinoma ukapishana nae mtaani bonge la mrembo ila mwana akikwambia twende nyumbani maramoja utaenda kukuta beseni limejaa maji ya ukoko
NtamvurugaWakat wa uchumba labda anajifanya msaf ukamuweka ndani ndio makucha yanachomoka itakuwaje
Pulizia Rungu spray! 😂Mimi na mtu mchafu haziivi kabisa
Ukiwa na maana ganiPulizia Rungu spray! 😂
AhahahhaNtamvuruga
Atokomeze uchafu. 😂Ukiwa na maana gani
Mi ni msafi japo siwapendi wasafiAhahahha
Pulizia Rungu spray! 😂
KwannPulizia Rungu spray! 😂
Ili wasiwe wanakudandia.Kwann
Bora shuka, je kwenye mgodi ambako, utakutana na bwawa la mindu ama mia tano, mia tano mbiliInasikitisha mwanamke wa sasaivi ana lalia shuka two weeks na haoni shida kabisa wakati kwa kawaida shuka linatakiwa libadirishwe ndani ya siku tatu kama hakujatokea maangamizi ya kitandani lakini kama yakitokea unapaswa badirisha baada ya maanagamizi ila kwa hawa wanawake wa sikuiz ni wachafu hajui kabisa usafi kufua kwao shida
Yani ninuke niugue pumbu jero kwa kurudia bukta wiki mbili kisa naogopa kuwa msafi ntaonekana wakike? Mbona magari wanaume ndio wanaongoza kwa usafiIli wasiwe wanakudandia.
Sema mwanaume akiwa msafi tena watasema anamambo ya kike. 😂
Wanyaturu hapana, labda ukute aliyetoka interior. Ila hao wa KG Town hapo sipingi ni 80%. 😄Wanawake wa kiha kutoka kigoma wanawake wa kinyaturu kwa uchafu mpewe mauwa yenu daaaaaaaaa
Gari unaweza tega hata kwenye koki ukazungusha tu ikawa clean. Wenzetu si hadi waandae scratchers. 😄Yani ninuke niugue pumbu jero kwa kurudia bukta wiki mbili kisa naogopa kuwa msafi ntaonekana wakike? Mbona magari wanaume ndio wanaongoza kwa usafi
Usaf ni afya mkuuGari unaweza tega hata kwenye koki ukazungusha tu ikawa clean. Wenzetu si hadi waandae scratchers. 😄
Sipingi kaka, na mimi kiukweli mwanamke msafi huwa ananimaliza sio siri. 😀Usaf ni afya mkuu