Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,067
- Thread starter
-
- #21
Nimeshaoa Lin ndo hivyo....aonjae nyama ya mtu haachi...Oa wa kwako na Usitende dhambi tena
Inaonekana nyota yangu ya punda mkuu ili itakate nilazima niwe naisafisha Mara kwa Mara kwake nafikiri....huyu jamaa anaqula ki power bank miaka 20, pesa anasema zaja kiajabu for fu..ing 20 years apata mamilioni ila kashindwa vumilia miezi 9 tu kafulia, kweli wewe ni ibilisi pekee mzembe
Ulaaniwe sana kwa kuufanya moyo wa binti wa watu kitega uchumi.Inaonekana nyota yangu ya punda mkuu ili itakate nilazima niwe naisafisha Mara kwa Mara kwake nafikiri....
Ulivyokuwa unatukana wasichana wa MMU kule kwenye uzi wa Forex sikutegemea kukukuta huku. Kumbe wenye akili kubwa pia huwa mnafika huku?!Wazee wa kitonga njooni msaidieni mwenzenu
Wazazi wake hawataki kulisikia neno Hilo hata iweje mkuu nilipojaribu kutuma watu kuwachomekea ili wanione Kama muoaji walivyozidisha juhudi za kunisaka hapa mjini...mi nadhani Kuna tatizo mahala limejificha nyuma ya pazia ya yule, na hasikii Wala haoni kwangu wakati mm hata sina wazo lingine zaidi ya mambo yangu yaende.Ana nyotaaaaaa ya pesaaaa oaaaa
Niliomba kibali magogoni mkuu[emoji12]Huoni hatari kutumia picha ya mtoto wa mfalme kwenye avatar yako ?
Potelea mbali mkuu,Mungu anakuona mkuu
Wazazi wake hawataki kulisikia neno Hilo hata iweje mkuu nilipojaribu kutuma watu kuwachomekea ili wanione Kama muoaji walivyozidisha juhudi za kunisaka hapa mjini...mi nadhani Kuna tatizo mahala limejificha nyuma ya pazia ya yule, na hasikii Wala haoni kwangu wakati mm hata sina wazo lingine zaidi ya mambo yangu yaende.
Yajayo yatakusikitishaNiliomba kibali magogoni mkuu[emoji12]
Aiseeeee basi ukiona hivyo ujue kuna makubwa nyuma yakeeeeWazazi wake hawataki kulisikia neno Hilo hata iweje mkuu nilipojaribu kutuma watu kuwachomekea ili wanione Kama muoaji walivyozidisha juhudi za kunisaka hapa mjini...mi nadhani Kuna tatizo mahala limejificha nyuma ya pazia ya yule, na hasikii Wala haoni kwangu wakati mm hata sina wazo lingine zaidi ya mambo yangu yaende.
[emoji15] [emoji23]itakua na wew wanataka kukuingiza kwenye list yao ya chuma ulete kama huyo bint yao
[emoji2] [emoji2] Kuna maiti inayosikitika....Yajayo yatakusikitisha