Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,067
- Thread starter
- #21
Chakushangaza wakuu hata nikiwa na ahadi kukutana na mtu kuhusu pesa au kazi...nikitaka wafanye ninavyotaka au Nina msala nikikutana nae tu....Kama kesi ndo imekwisha kazi nakuwa Kama Mimi mtoa kazi napanga utaratibu wa Bei utendaji na watendaji pia na hakuna anayejaribu hata kuguna yaani unakuwa Kama umewekewa nuru usoni[emoji120] [emoji120]