Kuna wanawake wana bahati na nyota ya pesa

Chakushangaza wakuu hata nikiwa na ahadi kukutana na mtu kuhusu pesa au kazi...nikitaka wafanye ninavyotaka au Nina msala nikikutana nae tu....Kama kesi ndo imekwisha kazi nakuwa Kama Mimi mtoa kazi napanga utaratibu wa Bei utendaji na watendaji pia na hakuna anayejaribu hata kuguna yaani unakuwa Kama umewekewa nuru usoni[emoji120] [emoji120]
 
huyu jamaa anaqula ki power bank miaka 20, pesa anasema zaja kiajabu for fu..ing 20 years apata mamilioni ila kashindwa vumilia miezi 9 tu kafulia, kweli wewe ni ibilisi pekee mzembe
Inaonekana nyota yangu ya punda mkuu ili itakate nilazima niwe naisafisha Mara kwa Mara kwake nafikiri....
 
Ulaaniwe sana kwa kuufanya moyo wa binti wa watu kitega uchumi.
Mkeo pamoja na wanao wa kike wakatendewe vivyo hivyo usipobadilisha akili yako ya kipumbavu
 
Ana nyotaaaaaa ya pesaaaa oaaaa
Wazazi wake hawataki kulisikia neno Hilo hata iweje mkuu nilipojaribu kutuma watu kuwachomekea ili wanione Kama muoaji walivyozidisha juhudi za kunisaka hapa mjini...mi nadhani Kuna tatizo mahala limejificha nyuma ya pazia ya yule, na hasikii Wala haoni kwangu wakati mm hata sina wazo lingine zaidi ya mambo yangu yaende.
 
itakua na wew wanataka kukuingiza kwenye list yao ya chuma ulete kama huyo bint yao
 
Wazazi wake hawataki kulisikia neno Hilo hata iweje mkuu nilipojaribu kutuma watu kuwachomekea ili wanione Kama muoaji walivyozidisha juhudi za kunisaka hapa mjini...mi nadhani Kuna tatizo mahala limejificha nyuma ya pazia ya yule, na hasikii Wala haoni kwangu wakati mm hata sina wazo lingine zaidi ya mambo yangu yaende.
Aiseeeee basi ukiona hivyo ujue kuna makubwa nyuma yakeeee
 
Back
Top Bottom