Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
and the vice versa mdogo wanguYani ana act as if amejaa kwako na waeza dhani kua ukimwambia tutoke out itakua rahisi, ila chaa jabu uki make move tu, anabadilika kama si yeye.
Wadada muache kucheza na hisia za watu, mambo ya ku jaribiana jaribiana hayafai