GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Hapa mnaweza laumu Kuwa wanaume hawatulii, hawali kwa wake zao n.k kumbe ni utamu wa vitumbua kama hivi. Ukikiona tu kwa nje unatamani ukile... Kimetuna, Kisafi kina mvuto.
Tuelekezane mapishi haya tafadhali kwa wajuzi. Ukinionesha mwanamke mwenye kitumbua kama hiki... Ntamfata popote nikile.
Tuelekezane mapishi haya tafadhali kwa wajuzi. Ukinionesha mwanamke mwenye kitumbua kama hiki... Ntamfata popote nikile.