Kuna Wanawake wanapika Vitumbua vitamu jamani acheni tu. Mnaweza tulaumu bure sisi wanaume

Kuna Wanawake wanapika Vitumbua vitamu jamani acheni tu. Mnaweza tulaumu bure sisi wanaume

Hapa mnaweza laumu Kuwa wanaume hawatulii, hawali kwa wake zao n.k kumbe ni utamu wa vitumbua kama hivi. Ukikiona tu kwa nje unatamani ukile... Kimetuna, Kisafi kina mvuto.

Tuelekezane mapishi haya tafadhali kwa wajuzi. Ukinionesha mwanamke mwenye kitumbua kama hiki... Ntamfata popote nikile.
View attachment 808137

Kweli GuDume nakubaliana nawe ila mie navichagua vile vizuri tu, vyenye mchanga sivili nawaachia vijana wa kitaa, na uzuri wa hivi vitumbua unavila bila nguo tena gizani huku milango umefunga vizuri ili majirani wasisikie na wala usipige kelele. Unakula taratibu huku ukisikilizia utamu wake, kisha unalala usingizi mzito ka mtoto. Ukihamka asubuhi unakibusu na kukipa ahadi ya kukila tena baada ya kazi.
 
amu unaishi wapi dada? Tell me please kwa kitumbua hicho ntakufata popote ulipo... Alikufundisha nani kuwa na Kitumbua kama hicho? Chai nzito ya maziwa naweza kuja nayo haina tatizo ili mradi nije kula vitumbua kama hivyo... Unavikaangaje? Kwa kwel vinatamanisha... Vimetuna na visafi sana...

gudume napika kitumbua zaidi ya hicho,ukitoka job pitia na chai ya maziwa yenye hirik,ablasini tangawizi na majani yamekolea
 
Astaghafilulah... Mbona nmeweka na picha ndugu yangu? Kwenu ndo mnaita jina baya namna hiyo? Chakula hakipaswi kupewa jina baya...

Nadhani ana maanisha kitumbua mbunye
 
Nmekula kimoja ni kitamu... Kitamu sana... Sijui kimewekwa nini kina harufu nzuri pia ya kuvutia kwa mlaji...
Mbona naona vitumbua vingi, ila bwana Gudume unasifia kimoja?

Ina maana umekula kimoja tu?
 
sasa huu ni uchoyo na kuna uwezekano ukala na mende au konokono kama mzee matola

amu uyasemayo ni kweli ila kwa mzoefu anajuwa namna ya kula gizani tena bila kelele. Njoo nikufundishe, usihofu na ninakuahidi utaburudika na kushiba kisawasawa tena vya wikiendi ndo vitamu zaidi, maana kama hujatosheka leo unarudi tena kesho na keshokutwa.
 
Na hicho kitumbua ukile kwa kukipaka Asali.......maweeeeee Euphoria utayopata hapo ni zaidi ya ile ya Kutumia Heroin
 
Natamani ni comment lakini kila nikitumia neno kitumbua naona haionekani ni hiki cha kawaida cha chakula,ntarudi tena baadaye...
 
Hapa mnaweza laumu Kuwa wanaume hawatulii, hawali kwa wake zao n.k kumbe ni utamu wa vitumbua kama hivi. Ukikiona tu kwa nje unatamani ukile... Kimetuna, Kisafi kina mvuto.

Tuelekezane mapishi haya tafadhali kwa wajuzi. Ukinionesha mwanamke mwenye kitumbua kama hiki... Ntamfata popote nikile.
View attachment 808137
Mi si nkajua Kitu-mbua kitu!
 
Natamani ni comment lakini kila nikitumia neno kitumbua naona haionekani ni hiki cha kawaida cha chakula,ntarudi tena baadaye...
mimi saivi nimejistukia natamani nifute comments,tenaligudume ndo limeharibu eti amekula kitumbua kimoja kweli vitumbua vitamu kama hivyo unakulaje kimoja?hapa si kitumbua bali ni litumbua .
 
Sasa kisiwe na rangi hiyo.

Ukikute cheusi alafu kimetuna, wee.
 
mmh.. amu nimekosea nini tena? binafsi nilipata kimoja sababu kuna mtu alileta ofisini vitatu tu akasema ananipa kimoja kuonja.... kile kitumbua kilikuwa kitamu sana.. toka jana namsisitizia kuwa alete nile vitumbua hivyo hata 10 wasubuh na chai ya maziwa.. ila nikaingiwa na tamaa.. nataka kujua namna ya kutengeneza. ni bora nijifunze niwe natengeneza mwenyewe...

ila kama kuna mtu anafaham na kuna sehemu anauza nijulishwe naweza kwenda maeneo ya mjini.
mimi saivi nimejistukia natamani nifute comments,tenaligudume ndo limeharibu eti amekula kitumbua kimoja kweli vitumbua vitamu kama hivyo unakulaje kimoja?hapa si kitumbua bali ni litumbua .
 
Back
Top Bottom