Kuna Wanawake wanapika Vitumbua vitamu jamani acheni tu. Mnaweza tulaumu bure sisi wanaume

kitumbua cheusi maana yake kimeunguzwa... huwa sipendelei vilivyounguzwa ..hivi vitumbua si unaona violivyo visafi ? havijaunguzwa havina mabaka mabaka.
Sasa kisiwe na rangi hiyo.

Ukikute cheusi alafu kimetuna, wee.
 
Vingi vya alfajiri upikwa uchi,ndo maana ni vitamu,why sababu uamka alfajiri sana uviandaa then wakimaliza ndo uenda kuoga ili waingie sokoni,huwezi oga ndo uanze kupika.
 
kuna sehemu huwa mpigaji anapikia nje.. na huwa namwona kabisa amevaa nguo sijui kwa nini wewe unamwona yupo uchi.
Vingi vya alfajiri upikwa uchi,ndo maana ni vitamu,why sababu uamka alfajiri sana uviandaa then wakimaliza ndo uenda kuoga ili waingie sokoni,huwezi oga ndo uanze kupika.
 
TIBIM hapana kawaida mwanamke ukiamka asubuhi unatandika kitanda unaenda oga,unavaa ndo unaanza kazi iwe usafi au kupika ukimaliza kazi pia unaoga,huyo anayepika kabla kuoga ni mchafu.
 
Duh nimekuja speed Vibaya Sana, dah!! Hivi sio vitumbua Mkuu, ni Mchele uliokaangwa, Usichanganye hizi terminology mbili
 
Hapa mnaweza laumu Kuwa wanaume hawatulii, hawali kwa wake zao n.k kumbe ni utamu wa vitumbua kama hivi. Ukikiona tu kwa nje unatamani ukile... Kimetuna, Kisafi kina mvuto.

Tuelekezane mapishi haya tafadhali kwa wajuzi. Ukinionesha mwanamke mwenye kitumbua kama hiki... Ntamfata popote nikile.
View attachment 808137
Mbona viko zaidi ya hivyo mkuu
 
Hivi kitumbua hicho pichani na kile unachomaanisha vinafananaje?...mbona hicho ni cha duara?...au mpaka ukikate katikati?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa mnaweza laumu Kuwa wanaume hawatulii, hawali kwa wake zao n.k kumbe ni utamu wa vitumbua kama hivi. Ukikiona tu kwa nje unatamani ukile... Kimetuna, Kisafi kina mvuto.

Tuelekezane mapishi haya tafadhali kwa wajuzi. Ukinionesha mwanamke mwenye kitumbua kama hiki... Ntamfata popote nikile.
View attachment 808137
Utata hapo

Kuna wamama wanapika pale stendi ya igoma Kama unaenda kishiri hahaha hatari
 
Back
Top Bottom