Ukienda kwenye balozi nyingi wamejaa wanzanziibari. Kwa kusingizia dini wamejazwa kwenye nchi zote za Gulf. Wapo balozi zote za Ulaya na Marekani.
Wabara wamajaa balozi za Africa na nchi masikini. Hapa siongelei mabalozi bali wafanyakazi wa balozi. Kuna wakurugenzi, wakuu wa wilaya , mikoa wengi tu wanzanzibari. Ukienda sekta muhimu kama TPDC, bandari, sehemu nyeti wamejazwa wa Zanzibar.
Yaani kijana kama kasoma Zanzibar ni rahisi sana kutafutiwa kazi. Huu ubaguzi inabidi uishe na Watanzania wote wawe na nafasi sawa bila kujali wametokea wapi