GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
" Kama kuna Timu naiogopa na Mchezaji Hatari kwa sasa Africa basi ni ya Yanga SC na Fiston Mayele. Hakika wako vizuri sana na Mayele atawafikisha mbali kwa Umahiri wake wa Ufungaji na ana uwezo wa hata Kucheza Timu Kubwa Uingereza na Kwingineko Ulaya" Dylan Keir Kocha Mkuu wa Timu ya Marumo Gallants FC.
Yaani kuna Wazungu wanajua kweli kufanya Mind Game, Kusanifu na Kudharau Watu na najua kwa hiki alichokisema kuna Wapuuzi FC wataifurahia, watabweteka na hii Taarifa wataisambaza kote kote na Kujivunia nayo wakati wenye Akili Kubwa tunajua Watafungwa Tanzania na Kwao Afrika Kusini.
Kudadadeki......!!!!!!