GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hili jamaa hivi lina watoto nyumbani kwake kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]" Kama kuna Timu naiogopa na Mchezaji Hatari kwa sasa Africa basi ni ya Yanga SC na Fiston Mayele. Hakika wako vizuri sana na Mayele atawafikisha mbali kwa Umahiri wake wa Ufungaji na ana uwezo wa hata Kucheza Timu Kubwa Uingereza na Kwingineko Ulaya" Dylan Keir Kocha Mkuu wa Timu ya Marumo Gallants FC.
Yaani kuna Wazungu wanajua kweli kufanya Mind Game, Kusanifu na Kudharau Watu na najua kwa hiki alichokisema kuna Wapuuzi FC wataifurahia, watabweteka na hii Taarifa wataisambaza kote kote na Kujivunia nayo wakati wenye Akili Kubwa tunajua Watafungwa Tanzania na Kwao Afrika Kusini.
Kudadadeki......!!!!!!
Kwani ulivyonichanulia chanu Miguu yako na Kukuumua Tumbo lako baada ya ile Miezi Kenda / Tisa ulinizalia Matofali?Hili jamaa hivi lina watoto nyumbani kwake kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo huyo tu hata kocha wa vipers kaongea." Kama kuna Timu naiogopa na Mchezaji Hatari kwa sasa Africa basi ni ya Yanga SC na Fiston Mayele. Hakika wako vizuri sana na Mayele atawafikisha mbali kwa Umahiri wake wa Ufungaji na ana uwezo wa hata Kucheza Timu Kubwa Uingereza na Kwingineko Ulaya" Dylan Keir Kocha Mkuu wa Timu ya Marumo Gallants FC.
Yaani kuna Wazungu wanajua kweli kufanya Mind Game, Kusanifu na Kudharau Watu na najua kwa hiki alichokisema kuna Wapuuzi FC wataifurahia, watabweteka na hii Taarifa wataisambaza kote kote na Kujivunia nayo wakati wenye Akili Kubwa tunajua Watafungwa Tanzania na Kwao Afrika Kusini.
Kudadadeki......!!!!!!
Unataka kusema hili lijamaa kuna hatua limeiruka kwenye makuzi yake!! 😁Hili jamaa hivi lina watoto nyumbani kwake kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]