Kuna warembo hawanunuliki. Imagine huyu alikataa 100M TZS!

Story tu hiyo..inawezekana alitoa mzigo bure
 
Bila ya ushahidi wa picha wa hiyo pisikali basi haya yote uliyonena ni ubatili na chukizo mbele ya wakulungwa wa bara na visiwani
 
Nimeacha Kusoma baada ya Kusema "MAKANISA YA KIROHO" huko hakunaga Ukweli wowote na Wala Usiamini Hao watu maana. wengi wao wamepotoka na Wanafanya mambo kuvutia Watu waingie kwenye Udanganyifu wao wawachote akili wawapige hela wanunue Range na Prado
 
Huyo Don alikuw anasifika ana ngoma. Ila wapo watu wenye msimamo sishangai. .

Hata mie nilikataa dili la kuuza dawa za kutoa mimba, ungekuta sasa ni Don. Believe in your principles. .
 
Huo ushihuda ulikua unahusiana na nin haswa? Yaan alienda kushuhudia kukataa bakshishi ili atoe nyapu au kuna jingine??
Maana hata mimi juzi kati nliona dem anajifanya motivesheno spika na kuwaambia watu kua yeye ni pisi kali wakati sura tu ni ya jioni na shepu ni bagia.
Sasa huyo wako alienda kutafuta nin hapo?
 
ukiwa mlokole ndio maana unadharaulika,maana unakuwa mpumbavu,acha upumbavu!
 
Muongo hyo mwambie akuambie aongee vizur otherwise na yeye alikuwa na Zaid ya hyo pesa kwenye account yake lakin kama alikuwa na lak jamaa alimula au anaongezee chumvi!
 
Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.

Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
Hongera sana kwake ...👏👏...mabinti wengine waige tabia yake
 
Yaani mtu kuongea madhabahuni ndio kaongea ukweli.

Kuna wachungaji wanatoka kumbato na majanaba na still wamaoamba madhabahuni.

Bado hujawaelewa binadamu ndugu yangu.
 
Kwamba alikataa sio ni 50% ila kwakuwa ni mazanahuni nyie mnatakiwa muamini tuu
 
Stori za online tv zimehamia madhabahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…