mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Usiwe unaamini kila unachoambiwa na hao watuYes, aliyaongea hayo eneo takatifu tena madhabahuni kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe unaamini kila unachoambiwa na hao watuYes, aliyaongea hayo eneo takatifu tena madhabahuni kabisa.
Mkuu....unataka ya nn 😅Kapicha tafadhali
Kweli tako ni zuri mpaka watu wanaweka ofa ya million 100Mkuu....unataka ya nn 😅
Hahahahah....we unaweza hivo?Kweli tako ni zuri mpaka watu wanaweka ofa ya million 100
Hao watu wanaohubiri kila siku mdhabahuni wanadanganya mara kibao,sembuse aliepanda mara moka tu?!!Yes, aliyaongea hayo eneo takatifu tena madhabahuni kabisa.
ukiwa mlokole ndio maana unadharaulika,maana unakuwa mpumbavu,acha upumbavu!Habari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.
Huyu ni binti mweupe, mrefu na mwenye shape yake, ni mzuri kiukweli, tena sana kwenye kila angle.
Kikubwa ni binti asiyeringa na hana majivuno, kuanzia kwenye kuongea na watu mpaka maisha yake kwa ujumla.
Sasa lililonishangaza na kuamini kuna wanawake warembo wana misimamo ni hili,
Anasema alipokuwa chuo kikuu(UDSM) alipata usumbufu mno kutoka kwa Wahadhiri wake, sana. Pia baada ya kumaliza na kuanza kazi ofisini alisumbuliwa mno na mabosi na watu wazito baadhi wa nchi hii.
Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.
Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
Muongo hyo mwambie akuambie aongee vizur otherwise na yeye alikuwa na Zaid ya hyo pesa kwenye account yake lakin kama alikuwa na lak jamaa alimula au anaongezee chumvi!Habari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.
Huyu ni binti mweupe, mrefu na mwenye shape yake, ni mzuri kiukweli, tena sana kwenye kila angle.
Kikubwa ni binti asiyeringa na hana majivuno, kuanzia kwenye kuongea na watu mpaka maisha yake kwa ujumla.
Sasa lililonishangaza na kuamini kuna wanawake warembo wana misimamo ni hili,
Anasema alipokuwa chuo kikuu(UDSM) alipata usumbufu mno kutoka kwa Wahadhiri wake, sana. Pia baada ya kumaliza na kuanza kazi ofisini alisumbuliwa mno na mabosi na watu wazito baadhi wa nchi hii.
Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.
Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
Hongera sana kwake ...👏👏...mabinti wengine waige tabia yakeAnasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.
Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
🤣🤣🤣Yes, aliyaongea hayo eneo takatifu tena madhabahuni kabisa.