Kuna waswahili wana matumizi potofu na hovyo sana ya neno "dhidi"

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Huwa nikawasikia wanasiasa wakizungumza kwa ujasiri sana serikali inapambana "dhidi" ya maendeleo ya raia wake, wananchi wana imani "dhidi" ya vyombo vya dola, raia wana ushirikiano mzuri "dhidi" ya serikali n.k Juzi nimemsikia gavana wa Arusha anasema wananchi wana imani "dhidi" ya jeshi lao!

Unaweza pia kusikia mashabiki wanasema wana imani dhidi ya timu, wachezaji wa timu yao wamepambana "dhidi" ya timu yao!

Sijui Kiswahili cha hovyo hivi watu huwa wanajifunzia wapi ikiwa waliweza hata kumaliza darasa la saba.
 
Dhidi ni kupingana kwa negative, against.
 
Mimi siwajahi kusikia wakitumia Hilo neno namna hiyo .
 
Back
Top Bottom