Mara ya kwanza hilo neno pumba nilililosoma vibaya To yeye. Lakini nikaona sentensi inakosa kiarifu, ina fulu vihisishi..!!Baiskeli nayo ya kukataa,pumba za kuku mashineni utabebaje?
Kabisa yaaniDawa za ukimwi wanaita mashudu mkuu
Au ulijua nimeandika pumb√?
Baiskeli za kijani za kampeni ndiyo wanachomaanishaNouma sana kataa baiko🤣🤣🤣🤣