Kuna Watanzania wanaacha kutazama world Cup 2018 match wanatazama Kagame Cup!

Kweli bado tuna safari ndefu waafrika ili angalau tuje wakaribia hao walioko mbele
Bado watu wengi hawajitambui mpaka kufikia karne hii!! Hatari sana.. nadhani kuna tofauti sana kati ya kuujua mpira, kuupenda na ushabiki...
Mungu tusaidie...
Unashangaa nini? Una mke wako mzuri wa sura Na umbo, elimu, tabia njema, maarifa na akili za juu sana, mpole na mnyenyekevu lakini Bado unaenda kutembea na House girl mbayaaaaa kama zimwi, hana heshipu, mchafu na kitandani gogo, ananuka kuwapa na papuchi kwa wakati mmoja
 
Kila mtu anapenda kitu kivyake. Itakuwa hatari sna kama hyo sjui kagame cup hakutakua na mtu hata mmoja anaangalia, kwa vle hawaathiri sna moshe zako wapptezee tu..
 
Kwel mkuu worldcup ni habar nyingne hadi nashangaa hao washabk viwanjani sijui wanatoka wapi na ni watu wa namna gani?
 
Kagame Na Ndondo cup wamekosea timing ya kuanzisha mashindano yao
Ndondo cup haina shida sana bado inawatazamaji kutokana na ladha na vionjo mbalimbali vya mashindano na ilishaanza mda tu kabla ya world cup

Kagame wamebugi jana nilikua bandari kwenye ndondo cup nafikiri palijaa kuliko taifa kwenye Simba na Singida
 
Siku Simba wanacheza na Singida kulikuwa na mechi gani world cup
 
Kweli bado tuna safari ndefu waafrika ili angalau tuje wakaribia hao walioko mbele
Bado watu wengi hawajitambui mpaka kufikia karne hii!! Hatari sana.. nadhani kuna tofauti sana kati ya kuujua mpira, kuupenda na ushabiki...
Mungu tusaidie...

Ndio ujue kwamba ccm itaendelea kutawala sana nchi hii. Kuna mijitu haijielew kabsaaaa.
 
Kweli bado tuna safari ndefu waafrika ili angalau tuje wakaribia hao walioko mbele
Bado watu wengi hawajitambui mpaka kufikia karne hii!! Hatari sana.. nadhani kuna tofauti sana kati ya kuujua mpira, kuupenda na ushabiki...
Mungu tusaidie...
umeandika ukweli uliojaa sana Mwembe yanga !
 
Wewe ni kenge acha dharau,tazama mama yako linganisha na wanawake wengine mtaani,utagundua baba yako aliacha vyuma vikali akamchukua maza yako. Halafu njoo ulete majibu hapa
 
Tulikuwa banda umiza kuna mechi ya Simba vs APR na tv nyingine Brazil vs Mexico, kuna jamaa walikuwa wamekomaa na mechi ya Simba tu na baada ya hiyo mechi walinyanyuka na kuondoka, sikuamini macho yangu!!
 
Hao wana akili ya utambuzi mara kumi ya kwako!
 
Kuwa na adabu.
Binadamu wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa baba yetu aliye Mbinguni.
 
Unashanga watu kutazama Kagame CUP, wakati kesho Ijumaa kuna Wanaume watangalia SHILAWADU watacha kuangalia game ya Brazil vs Belgium...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…