sosssy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2017
- 668
- 537
Kagame kapu ndio nini?
kombe la dunia ndo nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagame kapu ndio nini?
kombe la dunia ndo nn
Dunia in mkusanyiko Wa nchi zote, na vitu vyote
Ukiwauliza walimwengu Wa Bars Asia, america , ulaya nk kuhusu kagame kapu watapata kizunguzungu maana hawajuwi chochote kuhusu uchafu huo.
wewe ndio hujitambui...tunaojitambua tunatazama umitashumita...hapo vipi!!??Kweli bado tuna safari ndefu waafrika ili angalau tuje wakaribia hao walioko mbele
Bado watu wengi hawajitambui mpaka kufikia karne hii!! Hatari sana.. nadhani kuna tofauti sana kati ya kuujua mpira, kuupenda na ushabiki...
Mungu tusaidie...
Labda, sasa nisaidie kuyajuauna mapungufuuu kwahiyo ulishangaa nn___
Kweli nimeamini ccm ni nambari one duhTulikuwa banda umiza kuna mechi ya Simba vs APR na tv nyingine Brazil vs Mexico, kuna jamaa walikuwa wamekomaa na mechi ya Simba tu na baada ya hiyo mechi walinyanyuka na kuondoka, sikuamini macho yangu!!
World Cupasa kama timu tunazoshabikia zimetolewa.. tubaki tunaangalia nini?
Yaonyesha ww si mtu wa sokakwahyo kombe la dunia ndo nini??
kwanza kombe la dunia watu wanashabikia tu ilimrad
yan mtu team yke ni mfano,, taifa stars na imeshatoka kwenya mashindano hayo bado unaendelea kushabikia team ambayo hata ukuwai kufikilia kuwa unaweza kua na ushabiki nayo huo ndo ufala sasa
kwahy kila mtu na anavopenda bob usimlazimishe nyan kuamini kuwa tango ni tam kuliko ndizi.
Ndio Kagame CupKagame kapu ndio nini?