Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Read between the words usitumie hisia zakoKuwa na adabu.
Binadamu wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa baba yetu aliye Mbinguni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Read between the words usitumie hisia zakoKuwa na adabu.
Binadamu wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa baba yetu aliye Mbinguni.
Eti ee?Hao wana akili ya utambuzi mara kumi ya kwako!
Dr wa kemia atakuwa anaangalia pia.Unashanga watu kutazama Kagame CUP, wakati kesho Ijumaa kuna Wanaume watangalia SHILAWADU watacha kuangalia game ya Brazil vs Belgium...
Hadi jiwe ni mupenzi mutazamaji wa shilawaduUnashanga watu kutazama Kagame CUP, wakati kesho Ijumaa kuna Wanaume watangalia SHILAWADU watacha kuangalia game ya Brazil vs Belgium...
Ha ha ha!! Watu mna maneno, eti wanatoka wapi na ni watu wa namna gani..Kwel mkuu worldcup ni habar nyingne hadi nashangaa hao washabk viwanjani sijui wanatoka wapi na ni watu wa namna gani?
Hahahaaaa mkuu umenichekesha mnoUnashanga watu kutazama Kagame CUP, wakati kesho Ijumaa kuna Wanaume watangalia SHILAWADU watacha kuangalia game ya Brazil vs Belgium...
Ha ha! Hao ni wazalendo waliopitiliza vigezo vya uzalendo, hatari sana!Tulikuwa banda umiza kuna mechi ya Simba vs APR na tv nyingine Brazil vs Mexico, kuna jamaa walikuwa wamekomaa na mechi ya Simba tu na baada ya hiyo mechi walinyanyuka na kuondoka, sikuamini macho yangu!!
Unashangaa nini? Una mke wako mzuri wa sura Na umbo, elimu, tabia njema, maarifa na akili za juu sana, mpole na mnyenyekevu lakini Bado unaenda kutembea na House girl mbayaaaaa kama zimwi, hana heshipu, mchafu na kitandani gogo, ananuka kuwapa na papuchi kwa wakati mmoja
Unashanga watu kutazama Kagame CUP, wakati kesho Ijumaa kuna Wanaume watangalia SHILAWADU watacha kuangalia game ya Brazil vs Belgium...
Kicheko chako kimeletwa kwa HISANI ya kaka mkuu BujibujiNimecheka kwa sauti [emoji23]
Kweli bado tuna safari ndefu waafrika ili angalau tuje wakaribia hao walioko mbele
Bado watu wengi hawajitambui mpaka kufikia karne hii!! Hatari sana.. nadhani kuna tofauti sana kati ya kuujua mpira, kuupenda na ushabiki...
Mungu tusaidie...
haijielew kivip sasa ???Ndio ujue kwamba ccm itaendelea kutawala sana nchi hii. Kuna mijitu haijielew kabsaaaa.
Tulikuwa banda umiza kuna mechi ya Simba vs APR na tv nyingine Brazil vs Mexico, kuna jamaa walikuwa wamekomaa na mechi ya Simba tu na baada ya hiyo mechi walinyanyuka na kuondoka, sikuamini macho yangu!!