Kuna Watanzania wanaacha kutazama world Cup 2018 match wanatazama Kagame Cup!

Kuna Watanzania wanaacha kutazama world Cup 2018 match wanatazama Kagame Cup!

Dunia in mkusanyiko Wa nchi zote, na vitu vyote

Ukiwauliza walimwengu Wa Bars Asia, america , ulaya nk kuhusu kagame kapu watapata kizunguzungu maana hawajuwi chochote kuhusu uchafu huo.

support vya nyumban bob wew kujua hilo kombe la dunia una pata nn????
 
Kweli bado tuna safari ndefu waafrika ili angalau tuje wakaribia hao walioko mbele
Bado watu wengi hawajitambui mpaka kufikia karne hii!! Hatari sana.. nadhani kuna tofauti sana kati ya kuujua mpira, kuupenda na ushabiki...
Mungu tusaidie...
wewe ndio hujitambui...tunaojitambua tunatazama umitashumita...hapo vipi!!??
 
Tatizo walio wengi ni wanazi tu was mipira ya hapa bongo ukiwapeleka nje hapo umewatoa kwenye reli.
 
Tulikuwa banda umiza kuna mechi ya Simba vs APR na tv nyingine Brazil vs Mexico, kuna jamaa walikuwa wamekomaa na mechi ya Simba tu na baada ya hiyo mechi walinyanyuka na kuondoka, sikuamini macho yangu!!
Kweli nimeamini ccm ni nambari one duh
 
kwahyo kombe la dunia ndo nini??

kwanza kombe la dunia watu wanashabikia tu ilimrad

yan mtu team yke ni mfano,, taifa stars na imeshatoka kwenya mashindano hayo bado unaendelea kushabikia team ambayo hata ukuwai kufikilia kuwa unaweza kua na ushabiki nayo huo ndo ufala sasa


kwahy kila mtu na anavopenda bob usimlazimishe nyan kuamini kuwa tango ni tam kuliko ndizi.
Yaonyesha ww si mtu wa soka
 
Back
Top Bottom