Kuna Watanzania wanaacha kutazama world Cup 2018 match wanatazama Kagame Cup!

Hao hawajipendekezi kwa wazungu..mimi na wewe sasa mpaka inafikia janaume zima linaropoka na kusema NEEMA I LOVE YOU..huyu ni dume ama jike dume!!

Wabongo most of them bado tunakaushamba flani hivi..tunamuona mzungu kama Mungu..
 
asa kama timu tunazoshabikia zimetolewa.. tubaki tunaangalia nini?
 
Kwel mkuu worldcup ni habar nyingne hadi nashangaa hao washabk viwanjani sijui wanatoka wapi na ni watu wa namna gani?
Ha ha ha!! Watu mna maneno, eti wanatoka wapi na ni watu wa namna gani..
 
Unashanga watu kutazama Kagame CUP, wakati kesho Ijumaa kuna Wanaume watangalia SHILAWADU watacha kuangalia game ya Brazil vs Belgium...
Hahahaaaa mkuu umenichekesha mno
 
Tulikuwa banda umiza kuna mechi ya Simba vs APR na tv nyingine Brazil vs Mexico, kuna jamaa walikuwa wamekomaa na mechi ya Simba tu na baada ya hiyo mechi walinyanyuka na kuondoka, sikuamini macho yangu!!
Ha ha! Hao ni wazalendo waliopitiliza vigezo vya uzalendo, hatari sana!
 
Nimecheka kwa sauti [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wa dar hao
Unashanga watu kutazama Kagame CUP, wakati kesho Ijumaa kuna Wanaume watangalia SHILAWADU watacha kuangalia game ya Brazil vs Belgium...
 
kagame imepoteza mvuto...ingekua kipindi kile wanaita KOMBE LA AFRIKA MASHARIKI NA KATI...game kama yanga ile ya akina mohamed husein said mwamba kali ongala wanacheza na timu kama apr ata kama worldcup wanacheza france na italy ningetazama ya yanga na apr.
 
Kweli bado tuna safari ndefu waafrika ili angalau tuje wakaribia hao walioko mbele
Bado watu wengi hawajitambui mpaka kufikia karne hii!! Hatari sana.. nadhani kuna tofauti sana kati ya kuujua mpira, kuupenda na ushabiki...
Mungu tusaidie...

kwahyo kombe la dunia ndo nini??

kwanza kombe la dunia watu wanashabikia tu ilimrad

yan mtu team yke ni mfano,, taifa stars na imeshatoka kwenya mashindano hayo bado unaendelea kushabikia team ambayo hata ukuwai kufikilia kuwa unaweza kua na ushabiki nayo huo ndo ufala sasa


kwahy kila mtu na anavopenda bob usimlazimishe nyan kuamini kuwa tango ni tam kuliko ndizi.
 
Tulikuwa banda umiza kuna mechi ya Simba vs APR na tv nyingine Brazil vs Mexico, kuna jamaa walikuwa wamekomaa na mechi ya Simba tu na baada ya hiyo mechi walinyanyuka na kuondoka, sikuamini macho yangu!!

una mapungufuuu kwahiyo ulishangaa nn___
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…