Kuna watu ambao hawapati maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU)

Kwanini tusiwatumie kama kinga kwa wengine?
 
Huyo atakua alipata Miezi ya karibu sio miaka 2 iliyopita,
 
Hii Ni book cover na imeandikwa na MTU mwenye Elimu ambayo kwenye ukoo wenu wote hakuna na hakutakuja kuwa na mtu atakayeweza kufikia kiwango chake Cha elimu
Muhaya hata akijifunika blanket la kilo 12 asionekane hata ukucha wake. Bado atajipambanua tu ili ajulikane.
 
Ndiyo alikuwa anatumia dawa tangu 2019 mimi nimeanza mahusiano nae 2022 wa nane
Kama mtu ametumia dawa vizuri,virusi vinafubaa na vinakuwa havionekani tena kwenye damu,hivyo hata ukitembea na huyo mtu huwezi kupata VVU,ila hakikisha na wewe unamsimamia unywaji wa hizo dawa kwani akijidanganya kuacha tu utaupata asubuhi kweupee......
 
Niliambiwa hivyo na daktari nisimamie kwa kumkumbusha kunywa,pia nilipewa dawa Kinga alimaarufu kama Prep ili kuimarisha kinga yangu zaidi dhidi ya HIV
 
Nlisikia mahali watu wenye selimundu huwa hawawezi kuambukizwa ukimwi
 
Nilidhani nipo peke yangu kumbe tuko wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…