Kuna watu ambao hawapati maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU)

Kuna watu ambao hawapati maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU)

Hii issue ngumu kuelezea ila ukweli nimedate na mwanamke miaka miwili,tumekaa chumba kimoja mwaka mzima situmii kinga kumbe mwathirika tangu 2019,ila sijapata na nimepina mara 3 na sasa wakashauri kutumia PREP ,tunamtoto mwaka mmoja na miezi 3 mzima kabisa
usijisifu. wew mchunguze vizuri huyo baby mama wako. isijekuwa mwenzio kakuficha anakunywa dawa za hiv kwa kificho. vinginevo angeshakuachia asbh tu. salama yako wewe ni hizo dawa anazokunywa bila kukuambia. kaa naye muongee vizuri atakuweka wazi kwa hili. wengi tu wanao na hawasemi maana wakisema mnawakimbia.
 
Kwaiyo wanakaa kimya ili wasikimbiwe
 
usijisifu. wew mchunguze vizuri huyo baby mama wako. isijekuwa mwenzio kakuficha anakunywa dawa za hiv kwa kificho. vinginevo angeshakuachia asbh tu. salama yako wewe ni hizo dawa anazokunywa bila kukuambia. kaa naye muongee vizuri atakuweka wazi kwa hili. wengi tu wanao na hawasemi maana wakisema mnawakimbia.
Umekurupula soma comments zote nayote vizuri
 
Lipo kundi dogo la watu duniani ambalo hawawezi kupata VVU hata waongezewe Damu yenye VVU. Watu Hawa niwachache Sana pia hapa Tanzania wapo. Group la Damu halihusiani Ila kinachohusika Ni kingamwili .

Watu Hawa kimsingi Kinga mwili zao Zina udhaifu fulani hivi , wa kutokupambana na magonjwa ndio pona pona Yao.

UKIMWI UNAVYOINGIA MWILINI
Baada ya VVU kuingia katika mfumo wa damu Kinga imara za mwili zinaanza mpambano Mara moja (Muulize MTU mwenye VVU alihisije katika Wiki tatu za mwanzo za maambuki) mpambano huu huanza baada ya saa 72.

Kwakuwa seli zinapambana na VVU kwa mtindo wa kukumbatia na kufungia VVU zinachukua Kama faida kutumia seli hizo hizo za magonjwa kujiimarisha na kuishi ndani ya mwili. HII INA MAANA KUWA KAMA SELI ZA KUPAMBANA NA MAGONJWA HAZITAPAMBANA NA VVU VILIVYOINGIA MWILINI HUTOPATA UGONJWA HUO
hapa tunaweza kuhitimisha kuwa kadri Kinga zako zitakuwa Active ndio utaufanya VVU vijikite kwa haraka zaidi.

Nyongeza: Chanjo yakuzuia maambukizi ikiwa MTU amejiweka katika hatari hugs kazi chini ya saa 72 tangu uingie kwenye hatari hiyo, mechanism inavyofanyika nikuzifanya seli Kinga zako kutokuona VVU VILIVYOINGIA MWILINI Kama adui (ugonjwa) na hivyo Hakuna mpambano nahiyo ndio pona yako.

Namshukuru Mungu Ada ya wazazi wangu haukuenda Bure.
Wapo lakini wachache 1/1000
ni mmoja kati ya watu elf moja na jamii nyingi ya watu hawa wako West Africa😎
 
Nitajuaje kana
Nikiendelea kupekua historia yangu kuhusu hizi pilika za kugegeda najiona na mimi ni miongoni mwa hao uliowataja, maana kati ya niliowashenyeta wengine wamedanja kwa ngoma
Hata Mimi nadhani ni mmoja wao.. Mana historia yangu ni mbaya mno.. Ila kila nikipima ni negative..
 
Back
Top Bottom