Kuna watu bado wanatumia SHA-1 ku encrypt passwords?

Ndio Umeongea Ukweli huko hatuakiwi Wanataka vilaza
Nimefanya kazi Serikalini naelewa.. yaani huwa hawakai sababu mfumo wenyewe huwa unawatoa automatically. Yaani ni hadi watu wa aina flani watoke kwenye mfumo ndio mambo yatabadilika
 
Toa link ya website tuka-prove
 
Inabidi watu wa advance aise lest ukitumia sha1 add tena na md5 inakua afadhali kidogo kuliko kutimia sha 1 pekeyake
Nahofia kama una uelewa na unachoongelea, md 5 ni yale yale tu. Bcrypt ndo iko recommended na ndio default kwenye php password_verify.
 
Nilikua namaanisha hivi sha1(md5($pass))
Trust me bado nakufyatua vizr tu mkuu. Labda ufanye
$hash = sha1($pass) + md5($pass)

Yaan uzicombine kama alivyosema stephano hapo juu, angalia kiumakini utaelewa nnachomaanisha
 
Ina maana mtu anaweza kuzivamia akabadilisha matokeo? Mfano kapata C akajiwekea A

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Mbona bongo kuta IT wazuri sana
Ishakuwa ruled na kangaroo court of JF members kuwa IT wa Bongo ni ziro. Wewe ni nani hata kupingana na hukumu hii 😉

 
Hamna kitu sipendi kama uzembe kazini. Ningekua wewe wangesoma namba za kirumi mpaka wakome.

NB: Kwanini usi hack uweke data zao hapa JF ili waje kuona?
 
Ni sawa , ila md5 nazo ni rahisi sana kuzicrack na kuna online tool nyingi sana ambaxo zinacalculate hizo md5 , labda uniambia md5 hard salted one . Hapo sawa ingawa nazo zinaweza kuwa cracked ila inatake time.


Best option ni kutumia Bcrypt hash , yani hixi ndio funga kazi kwasabb huwezi kuzireverse kwnenye normal state mpaka key . So utakachofanikiwa ni ku bruteforc key then ndo uitumie kureverse kwenye plaintxt .


Na hizi bcrypt niliwahi zikuta sehemu , even banks chache hapa tz wanatumia , niliwahi kukutana nazo kwenye databases zao . Miaka ya nyuma wakat nafanya pentesting.

Anyways , for more mtu anaweza soma Bcrypt Step by Step - Qvault
 
Huwa zinafanana zote kasoro content tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Md5 , 21centry? Hapana aseeeeeee
Inategemeana.
Mfano naweza tumia MD5 na usijue hata kama ni MD5 unless uwe na code zangu.

Mfano ukicheza na hii function unapata ridiculously tough to crack hash. But yeah it is not practical when you have better ways

Code:
function generateHash($password, $padder = '0', $divider = 2)
{
    $paddedPassword = str_pad($password, 50, $padder, STR_PAD_BOTH);
    $hashes = [];
    $divPass = str_split($paddedPassword, 2);
    foreach($divPass as $pass){
        $hashes[] = md5($pass);
    }
    return implode('', $hashes);
}

Resultant hash for the password below is 800 chars long

Code:
$result = generateHash('123456', '#@33#');
echo strlen($result)."\n";
echo "$result\n";

800

b520a786a67833709e1c6e77dbf39dae182be0c5cdcd5072bb1864cdee4d3d6e05ab88fb98453f3a811b7851456621311378d7d8767899287b0407055215aa4e804c9b2d3a0bed2e1405c7b695c42e42b520a786a67833709e1c6e77dbf39dae182be0c5cdcd5072bb1864cdee4d3d6e05ab88fb98453f3a811b7851456621311378d7d8767899287b0407055215aa4e804c9b2d3a0bed2e1405c7b695c42e42b520a786a67833709e1c6e77dbf39daec20ad4d76fe97759aa27a0c99bff6710e369853df766fa44e1ed0ff613f563bd9f61408e3afb633e50cdf1b20de6f466b520a786a67833709e1c6e77dbf39dae182be0c5cdcd5072bb1864cdee4d3d6e05ab88fb98453f3a811b7851456621311378d7d8767899287b0407055215aa4e804c9b2d3a0bed2e1405c7b695c42e42b520a786a67833709e1c6e77dbf39dae182be0c5cdcd5072bb1864cdee4d3d6e05ab88fb98453f3a811b7851456621311378d7d8767899287b0407055215aa4e804c9b2d3a0bed2e1405c7b695c42e42b520a786a67833709e1c6e77dbf39dae
 
Okay
 
Haya majamaa yanayadevelop website za serikali sijui yalisomea vyuo gani
Shida ni kwamba developer wengi hawajari step ya security by design yaani wenyewe Wana copy templates then Wana paste yaani wanachukua tu code GitHub then wanapest basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…