debbug
JF-Expert Member
- Jun 9, 2018
- 562
- 855
Acha uboya tunapenya kila siku kila wakati juzi tu nime extract DB Moja wa website ya organization frani ivi yaani Kuna SQL injection za kushato sanaIT wa Bongo hawana uwezo wa kupenya. Kama kapenya mpaka kwenye database hafai kuwa IT wa Bongo. IT wa bongo ni zero kabisa!