At least anaishi🤣🤣🤣🤣Moyoni mwangu anaishi kama shetani mtoa roho
Shetani haishi popote ni nadharia ya uovu, uasi na ubaya wa kila aina.At least anaishi🤣🤣🤣🤣
Good riddance to bad rubbish.Magufuli hatokaa asahaulike hadi atakapopatikana jembe lingine. He lived a glorified life for his nation.
View attachment 3275412
Utakuwa mjinga sana wewe, bado wewe moyo wako ungali ukiishi kishetani?Moyoni mwangu anaishi kama shetani mtoa roho
Cheti feki ana uchungu huyu! Haya nenda kajifungue!Shetani haishi popote ni nadharia ya uovu, uasi na ubaya wa kila aina.
Mtaishia kutukana tu, Magufuli hakuwa pesa kwamba apendwe na kila MTU.Cheti feki ana uchungu huyu! Haya nenda kajifungue!
Msitulazimishie huyo mshamba wenu mfu, yuko kwenye moyo wako we bwege sisi tunamshukuru Mungu kwa ufundi wake. Mwehu km ww ndio anaweza kumkumbuka yule shetani katili alituharibia nchi na itachukua muda kuponaMagufuli hatokaa asahaulike hadi atakapopatikana jembe lingine. He lived a glorified life for his nation.
View attachment 3275412
Wee tukana kadiri uwezavyo, Magufuli alikuwa ni muovu namba moja, mwizi machachari, ubadhirifu, Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali alisema Magufuli kala trilioni moja na nusu je alimsingizia?Utakuwa mjinga sana wewe, bado wewe moyo wako ungali ukiishi kishetani?
Umemwona wapiAt least anaishi🤣🤣🤣🤣
Hawa Hawa ndio bado walalamikaji hata awamu hii ya 6, unaonyesha jinsi gani umewehuka kuishi na chuki dhidi ya marehemu.Mtaishia kutukana tu, Magufuli hakuwa pesa kwamba apendwe na kila MTU.