TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Hauna cha ziada na cha zaidi isipokuwa matusi. Magufuli alikuwa ni shetani kabisa kwa matendo yake.Hawa Hawa ndio bado walalamikaji hata awamu hii ya 6, unaonyesha jinsi gani umewehuka kuishi na chuki dhidi ya marehemu.