Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Itakuwa Doctor stranger
 
Okopa sana mwanaume anayeangalia series za kikorea🏃🏃🏃
Btw naunga mkono hoja
Jumong
Iris
3days
Kingdom of wind
Ni kati ya series safi kuwahi tengenezwa Korea. Hizi za sasa hivi upuuzi mtupu
Kuna jamaa anazikubali kichizi. Kinachonikera kwenye hizo series ni lugha.
Sometimes sipendi kusoma subtitle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…