Kuna watu hawakai na hela maana hata wakizipata wanazitafutia matumizi

Umaskini mkuu ni mada pana lakini hii inaweza kuwa mbinu moja wapo ya kupambana nao. Umaskini kitaalamu ni kesi ya mfumo zaidi.. tukidili na personal pathologies haziwez kutatua janga kama hili. Mfumo tulio nao unazalisha maskini wengi kila siku
Sahih, ila hiyo ni shortcut ya Umasikini kama umekua ukiutafuta bila mafanikio.
 
Sahih, ila hiyo ni shortcut ya Umasikini kama umekua ukiutafuta bila mafanikio.
Living with bipolar disorder can be challenging, especially when it comes to managing your finances. During a manic episode, many people with bipolar disorder tend to make poor financial decisions – overspending, impulsive buying, or excessive generosity. Not only do these decisions lead to harsh financial consequences, but they can also leave you feeling guilty and remorseful, and put a strain on your loved ones.

Overspending, however, is a common symptom of bipolar disorder and is often linked to the euphoria and excess energy of a manic episode. Bipolar disorder is a mental health condition characterised by episodes of extreme mood swings: highs (called mania) and lows (called depression) that can last for weeks or months at a time. It can occur seldomly or multiple times a year, and affects your perception, judgment and decision- making.
 
Kusubir sio shida umejiandaaje na emergency na una umejipa uhakika gan wa kuishi bila kusumbua watu? Unanunuaga kiroba cha unga au mahitaji jumla jumla?
utasumbuaje watu wakati una mshahara na una bajeji umeshaipanga mpaka pombe?
Mimi sinywi lakini kipindi nakunywa nikipokea mshahara baada ya kununua mahitaji ya msingi nilikuwa natenga mpaka hela ya bia japo bajeti yake huwa inakuwa na maajabu sana.

Unapanga kwamba hii laki 3 natenga nitakuwa nakunywa taratibu mwezi mzima bila kutoa ofa za bila mpango.
Matokeo yake asubuhi unaamka na 70,000 na ndio inabidi unywe mwezi mzima.
Utajibanabana lakini siku ya pili unajisemea maisha ndio haya haya, unaikamua na 70 yote.
 
dah umenichekesha sana man et maisha ndo haya haya duh
 
Huyu nilikuwag mimi , before kuigundua hii siri
Nilipoteza hela nyingi sana kupitia hii tabia
 
Natamani hizo 'hela nyingi' zikosee njia zipitie kwenye njia yangu, nipate kuwaelezea vizuri.
Maskini akipata anafuja zinaisha, ndio anapata kumbukumbu kuwa hana kitu. Tajiri akipata anawekeza, zinazaliana anabakiwa na kumbukumbu yeye na vizazi vyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…