Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
🤣🤣🤣Njaa ndo shida...
Hakika, uwezi kuwa timamu kichwani alafu kila siku ni kugombana na watu bila sababu za msingi. Lazima kuna nati zimelegea.Umaskini plus mental illness
Kuna watu kwenye Daladala aisee yaani unamwona kabisa anahangahika kutafuta ugomviHakika, uwezi kuwa timamu kichwani alafu kila siku ni kugombana na watu bila sababu za msingi. Lazima kuna nati zimelegea.
Wapo wengi kila mahali, sio hali ya kawaida kabisa, huko kwenye daladala ndio kabisaa makonda wanapitia changamoto mno.Kuna watu kwenye Daladala aisee yaani unamwona kabisa anahangahika kutafuta ugomvi
kale ka kalastborn eh? kalalamishii..full matusi😆Kuna kajamaa hapa jf nacho si haba
Kama gigi.Kabila ganiUmenikumbusha kuna dada mmoja tulikuwa kwenye mahusiano asee sijapata kuona mtu mgomvi kama yule.
Yule ni mluguluKama gigi.Kabila gani
Eti ka lastbornkale ka kalastborn eh? kalalamishii..full matusi😆
Sana... Yaani anapambana aupate kwa namna yoyote ile....Kuna watu kwenye Daladala aisee yaani unamwona kabisa anahangahika kutafuta ugomvi
Wapo usiombe akawa demu wako. Hana jema. Ukimletea zawadi ni ugomvi. Usipo ni ugomvi. Hana jema hata.... Hata ukimwambia nakupenda analianzisha... " kawaambie hao malaya wako... Unadhani. Utanidanganya kirahisi... Huna lolote wewe. Umalaya tu umekujaa"Umenikumbusha kuna dada mmoja tulikuwa kwenye mahusiano asee sijapata kuona mtu mgomvi kama yule.