Nilishashuhudia mchawi anakufa siku tatu
Nilishashuhudia mchawi anakufa siku tatu
Kuna mchawi mmoja tangia mwaka Jana anaumwa na kutamka wote aliowaua. Anaumwa hadi hospital walimrudisha nyumbani. Analia kua anaungua. Aliteseka huyo witch kafa mwezi wa NNE. Shida tupu aisee.
Pendael24 kuna roho halafu kuna mwili halafu kuna ufahamu!huu ufahamu ndio kila kitu ni energy ambayo haifi
Niweke sawa kidogo kwenye hivi vitu vitatu ulivyosema hapa? Ufahamu haufi Ki vipi? Na baada ya mwili kuozo na roho kuacha mwili ufahamu unaenda wapi?
Aaaah tutalala na wenge bana kesho tuiongee
​Nimecheka sana aisee dah!