Kuna watu hufa mara mbili

Kuna watu hufa mara mbili

mshanajr

hii haina tofauti na yale mauzauza yanayotokea ikiwa maiti hapendi.
maana yapo mengi hutokea misibani..
 
Last edited by a moderator:
Kuna mchawi mmoja tangia mwaka Jana anaumwa na kutamka wote aliowaua. Anaumwa hadi hospital walimrudisha nyumbani. Analia kua anaungua. Aliteseka huyo witch kafa mwezi wa NNE. Shida tupu aisee.

Huwa wanakufaga hivyo yani mpaka awataje wote aliowaua naye ndio huelekea motoni
 
mshanajr

hii haina tofauti na yale mauzauza yanayotokea ikiwa maiti hapendi.
maana yapo mengi hutokea misibani..

Kuna misiba mingine ni vitimbi mwanzo mwisho hasa kama marehemu kuna mambo hakuyapenda au alikuwa na bifu na mtu
 
Last edited by a moderator:
Mh mapya haya

1433535936175.jpg1433535936175.jpg
 
Pendael24 kuna roho halafu kuna mwili halafu kuna ufahamu!huu ufahamu ndio kila kitu ni energy ambayo haifi

Niweke sawa kidogo kwenye hivi vitu vitatu ulivyosema hapa? Ufahamu haufi Ki vipi? Na baada ya mwili kuozo na roho kuacha mwili ufahamu unaenda wapi?
 
Last edited by a moderator:
Niweke sawa kidogo kwenye hivi vitu vitatu ulivyosema hapa? Ufahamu haufi Ki vipi? Na baada ya mwili kuozo na roho kuacha mwili ufahamu unaenda wapi?

Ufahamu ni conscious na roho ni soul mwili roho na ufahamu ndio vinakutengeneza wewe kwa kiingereza tunasema ME MYSELF AND I! Ufahamu (conscious soul) ndio unaoenda mbinguni au motoni kwa wale waaminio katika kiama na Mungu mmoja na ndio huo huo huenda kuwa reincarnated kwa wale waaminio katika rebirth
 
Mkuu unanitisha Aise acha nilale

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
nimecheka sana hapo uliposema unaisindikiza na teke hahahahaha. ivi kama utaiacha inaweza kurudi uraiani tena kama zamani
 
Back
Top Bottom