Ulolaaniwa na Illovo
Sikumbuki kusikia bweg.e akilaani laana zikashika....
Teh teh teh!
Hakika laana zilishangaa sana.
nakubalina na ww mtoa mada kwa asilimia mia haya mamb ypo mfano kuna msiba wa bibi mmoja ulitokea moshi bac saa ya kuaga watu wameaga ikawa imefika zamu ya bibi mmoja kuaga bac ile kufika pale kweny jeneza anatazama maiti tu ile mait ya yule bibi ikafumbua macho wakatazaman face to face then alipopita tu ile maiti ikaendelea kufumba macho...hii nilipata bahat ya kuwa shuhuda kwa tukio hili nilibahatik kulilikodi kweny video camera nilikuwa km camera man bac ckujua maana ya tukio hili kabisa ila nilijarib rewind hile mini dive na nikaona ni kweli yule bibi alifumbua macho kabixa ...
Inawezekana kabisa japo ni kitu kibaya mno hii inatokana na uzoefu wa kazi anakuwa amehudumu muda mrefu kwenye sekta kiasi kwamba anakuwa na uwezo wa kusoma nyuso zinazokaribia kufa
hii ya kusoma uso wa mtu kwa mara ya kwanza niliipata siku kaka angu alipokuwa anakaribia kufa, shemeji yaani mke wake alitamka wazi kuwa bro anakufa, hatukuamini na kweli akafa, baada ya kumuandaa ikabidi tumuulize alijuaje akatuambia kuwa kwenye paji la uso huwa panaanza kuwa na ung'aavu fulani mtu anapokufa, hii dunia ni zaidi ya tuijuavyo wakuu
hz mambo hta ukizisma mchna lazma uogp t ..mshana jr malizia pakg yot mkuu nahs kuna mwanga nawez pt kwny hay mamb
siku nyingine msiipige teke ila muisindikize hadi mwisho wa safari yake ili kujua zinaendaga wapi.