Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji144] [emoji144]Wanafufuka mwaya ila ndio hivyo mshana jr anawarudisha kwa teke la yan-kibadach
Mshana wee,thimanya hemtwi wako heizue vini,mmm.Unaweza kudhani ni stori za kijiweni au kufikirika lakini haya mambo yapo na uzoefu wangu wa kuhudumia wafu ulinifanya nikutane naye.
Kuna watu hufa mara mbili na mara nyingi ikiwa ni usiku, wahudumu wa mochwari wanalifahamu hili vema! Unaletewa mwili uuhifadhi kwenye jokofu lakini kwa wakati huo majokofu aidha yamejaa au kuna miili mingi inahitaji kuipanga vema kabla hujaiload kwenye jokofu.
Miili yote inayoletwa mochwari imeshathibitishwa na daktari kwa maandishi kuwa huyu ni marehemu/maiti hana uhai tena hapumui na ni mzoga lakini ukiwa kwenye harakati za kupanga hizo maiti ghafla mojawapo ya maiti inasimama wima na kutaka kupiga hatua huku macho bila kupepesa yakiwa yamemtoka pima! !! Huna jinsi unaisindikiza na teke irudi ilipokuwa na baada ya hapo hainyanyuki tena.
Mochwari kuna mengi ya ajabu ya kutisha na kustaajabisha na wahudumu wa huko wanaona mengi! Lakini kitu kisicho na majibu ni kwamba kwanini kuna maiti hua zinafufuka na kufa tena ?
Bado kuna mengi hatuyajui.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116][emoji100][emoji100][emoji100][emoji100][emoji100][emoji100][emoji100][emoji119][emoji119][emoji119][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83]
Hivi kuingia mochwari ni lazima vibali??
Na je Nani anayetoa??
Sent from my IPhone 8+ using Jamii Forums mobile app
Naamini hujalala mkuu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]